Juzi kati tumemuona Masha Love akiwa nchini Uturuki kwa lengo la kufanyiwa operation ya Kupunguza Ukubwa wa maziwa yake, habari ni kuwa Masha ameshafanyiwa operation hiyo ambayo imegharimu Milion 31 za kitanzania
Kwa mimi sina tatizo na operation hiyo lakini tatizo naona ni fursa atakazo hipoteza
Moja ya vitu vimempa umaarufu Masha Love ni ukubwa wa ziwa na sio Vibao kata. Kuondoa kwa ziwa lake ni hasara maana she is not such a cute, sijajua amewaza Nini hadi kulitoa anaenda kupoteza Identity na hatakuwa tena Masha zungusha kifupi kaenda kuondoa Fursa ambayo wengi wameikosa