Kabla tuendelee... Je kuangalia matiti ya mwanamke ni tabia mbaya? Kwa wengine watasema haifai, wengine watasema ni ukosefu wa heshima. Lakini wanasayansi wanasema ni jambo zuri kuangalia matiti ya mwanamke kwa kuwa ni kama kufanya mazoezi ya aerobics kwa dakika 30. Utafiti huu ulifanywa Dkt. Karen Weatherby, na ukachapishwa katika jarida la Udaktari la New English Journal. Pia wanasayansi wengine wamedhihirisha kuwa kuangalia matiti kwa dakika kumi yanaweza kuongeza maisha yako kwa angalau miaka 5.
Halafu pia jiulize kama kuangalia matiti ya mwanamke ni vibaya, mbona kila wakati ukitembea barabarani utakutana na wanawake waliovalia nguo za kimaajabu maajabu huku matiti yao wakiyaachilia tuyachunguze! Labda pia wao katika DNA zao ambazo ziliumbwa mamilioni ya miaka iliopita inafahamu kuwa kumuonyesha matiti mwanaume kuna manufaa kiafya, ama vipi?
Lakini kabla hujaanza azma yako ya kuangalia matiti ya mwanamke lazima ujue jinsi ya kuyaangalia kimpango ili usije ukaitwa fala. Zifuatazo ni mbinu ya kuyaangalia matiti kiujanja.
#1 Yaangalie wakati hakuangalii. Najua ni vigumu kujizuia kuangalia matiti ya mwanamke wakati ambao umekaa na yeye mnaongea. Kuna ile sauti ambayo inakuja katika fikra zako ambayo inakwambia, ‘angalia chini...angalia chini’. Hii inakuja sana haswa wakati mwanamke aina hii amekaa na wewe akiwa amevalia nguo inayoonyesha mwanya wa matiti.
Lakini sauti kama hii ikija hufai kuisikiliza, wewe tulia kwanza. Kama una hamu ya kuangalia huo mwanya wa matiti basi unangojea ule wakati ambao mwanamke ameangalia kando. Hii ni muhimu kwa kuwa pindi akigundua kuwa unayaangalia matiti yake basi utamfanya asijihisi huru akiwa na wewe. Kumbuka kuwa wanawake wanaweka pazia na mipaka kwa kila mtu ambaye hajazoeana naye haswa ikija katika maswala ya uingiliano.
#2 Kumbuka miaka yako wakati unapoyaangalia. Ok, hii ni moja kwa moja. Iwapo wewe ni mzee wa miaka 40 ama 50 halafu unaangalia wanawake ambao ni umri wa watoto wako haifai. Najua kuwa mwanaume ni mwanaume so inakubalika. Lakini pia unapoangalia uwe unaangalia na mpango ili usigundulike. Bila hivyo utamshtua unayemlenga. So hapa lazima uwe mjanja. Tumia mbinu hii ya tatu kadri uwezavyo. [Soma: Jinsi ya kumuwin mwanamke]
#3 Vaa miwani wakati unayaangalia. Tafuta miwani haswa zile nyeusi. Hizi zitakusaidia pakubwa wakati unatimiza azma yako. Hapa utakuwa na uhakika wa asilimia 100 kuwa utafaulu.
#4 Usipitishe kiwango. Wale wanaume feki ambao wanayaangalia matiti ya mwanamke kiasi cha kwamba wanataka kujitosheleza papo hapo huwa wanatisha haswa wakiwa katika sehemu ambazo hazina watu. Kama unaona kuwa hakuna matumaini yeyote kwa mwanamke kukutosheleza basi hupaswi kumakinika na yeye sana. Unafaa uangalie sekunde mbili halafu ujitoe. Haina haja kuonekana kama fisi. [Soma: Jinsi ya kumsisimua mwanamke kabla umlalie]
#5 Ni dakika ngapi ambazo unafaa kuyaangalia. Hili ni swala zito ambalo kila mtu huwa na maoni tofauti tofauti. Kwako, kuangalia matiti ya mwanamke saa zima ni kama kuyaangalia dakika 5 ama sekunde mbili lakini kwa mwanamke huwa anahisi vibaya na huwa havutiwi na jambo kama hilo. Kumbuka kuwa kama unainjoy wakati yeye hataki basi wewe huna utofauti wowote na katili na atakuona kama mzinzi.
#6 Usikufe bikra. Je uko na rafiki yako ambaye huwa anazuzuika wakati anapoingia kwa klabu? Yeye haja yake kubwa ni kuingia huko na kuyalenga macho yake kwa kila mwanamke ambaye atapita kando yake. Labda kwake kuangalia matiti huwa anafurahi, anawaza na kuzuzuika na vyombo walivyobeba. Anaona raha hadi mate yanamdondoka. Lakini kwa wanawake wanamuona kuwa atakufa akiwa bado ni bikra. Tafadhali usiwe mtu aina hiyo. [Soma: Mbinu tofauti tofauti za kuomba namba kwa mwanamke]
Fuata masharti ambayo tumekupa hapo juu na hakika utafurahia kila wakati unapoyaangalia