Kenyatta Afuta Amri ya Kutotoka Nje Nchini Kenya


Rais Uhuru Kenyatta ameondoa masharti ya kutotoka nje usiku.


Akizungumza katika sherehe za kuadhimisha siku kuu ya mashujaa, Uhuru amesema kwamba hatua hiyo inafuatia kupungua kwa visa vya maambukizi nchini Kenya.


Amesema kwamba kufikia sasa ni watu milioni 5 waliopata chanjo ya ugonjwa wa corona.
Kenya inapania kuwapatia chanjo watu
milioni 10 kufikia Disemba mwaka huu.


Hatua hiyo inajiri wakati ambapo Wakenya wamekuwa wakiitaka serikali kuondoa masharti hayo kwa lengo la kuendelea na biashara zao za kawaida•

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad