"Kokote ukimuona Lulu Diva jua ana Kaka yake Mjeda, so make sure una respect mdogo wake mjeda halafu staki maswali wewe jua tu kwamba ana kaka yake mjeda tena mkimuona sehemu muwe mnaniambia kaka yake " amesema Linex.
Kumekucha..Mwanamuziki Linex na Lulu Diva Wanapika na Kupakua?
0
October 02, 2021
Tags