Nyie leo msilaleeeeee. Mtoto wa dada wa taifa ako Durham University. Uwiii jamani nakufaaaaa kwa furaha mimi.
Jamani mtoto wangu ako anasoma one of the top Universities in UK. Maana sio tu kwamba ako chuo kikuu ila ako one of the best universities in the world. Eti mtoto wangu mimi hapa, mpare mie eti mtoto wangu ndo ako Durham University 😳😳uwiii jamani mwenzenu kumbe mwaka 2002 nilizaaga mwanasheria.. 😊😊
Jamani muoneni binti yangu @itscassandrahh siku yake ya kwanza chuo kikuuu…
@itscassandrahh
Uwiiii mwenzenu leo natoa yooooote