Mpaka Apple Store za Dubai hakuna iphone 13 pro. Imagine mpaka Dubai hakuna ila TZ zimezagaa kama nyanya .
Nilichogundua ni kwamba bongo iphone 13 na 13 pro zoooote ni fekiiiiii. Mnauziwa simu fekiii.
Ushauri wangu. Hizo milioni 2 sijui 3 mnazotoa kununua simu feki ambazo thamani yake ni laki 3 tu au 5 ni bora uongeze pesa kidogo umtumie mtu unaemwamini nchi za nje akununulie, usubirie huo mwezi au miwili Ila unapata kitu OG. Kuliko kutoa mamilioni kuuziwa simu feki.
Mnaibiwaaaaaaaaaaaa. Hizo simu mnatakiwa mnunue sio zaidi ya laki 3 sababu ni feki.
Nimeona maduka mengi wanaandika mzigo umetoka USA. Jamani mzigo utoke USA wakati huku sisi wenyewe tunazitafuta mpaka uvunguni? Mpaka tutoe order ya mwezi na ushuzi ndo tupate.
I’m being unfair to crooks only.
Kuuza vitu fake sio kosa na kwa nchi maskini vitu fake ni lazma.
Nachopinga mimi ni kutapeli watu. Kama kitu ni fake sema ni fake then mtu anunue kwa raha zake. Sio kuwadanganya watu kitu ni OG, tena wanaandika kabisa ni OG from USA. From USA wakati USA kwenyewe tunazitafuta? 😩
Samahani, hii ni moja ya kazi ya platform yangu, ni kuelimisha jamiii. Na sijaanza leo hii. Labda kama umenijua leo, nilishaingilia kati issue za utapeli mkubwaaa enzi zile za ile kampuni gani sijui ya mchezo, sijui unajiunga then na wewe unaunga watu. Niliingilia kati nikawaambia watu wanatapeliwa walionisikiliza walipona ila waliokuwa wameshaingia walinitukana matusi yooote kwamba nawaharibia maana mimi kuongea ni kama niliwastua watu. Nilitukanana na Joyce Kiria humu kisa nawaambia watu anawatapeli kuwaingiza humo. Nilichezea mitusi ya kutosha ila haikuchukua hata muda ikawa sooo mpaka serikali ikaingilia kati na Ile kampuni ikafa na watu wakatapeliwa kama nilivyowaambia miezi zaidi ya 6 kabla. Ila wangenisikiliza toka mwanzo wakati nawaambia wasijiunge wanatapeliwa. Mimi sipendi kutapeli watu maana hiyo kampuni ilifata hata mimi eti niwawaambie followers wangu wajiunge nao sababu wananiamini, weeee niliwakimbiza kama wezi . Sipendi watu kutapeliwa.
Sina ubaya na kijana yoyote anaejitafutia rizki. Alafu mbona unamtaja huyo? Wako wauzaji wengi why is uumtaje mmoja? Mimi nilimtaja mtu? Sina ubaya nae huo shemeji yangu. Usinigombanishe oky?
Trust me napoongelea issue kama hizi sio kama nataka kuharibia mtu biashara ila najaribu kuokoa hao wanaodanganywa" Mange Kimambi
Iphone 13 was released to different parts of the world officially on Sept 2021, you can also check on web page specialized on mobile phone technology viz GSM Arena etc , its Versions are: A2643 (International); A2484 (USA); A2641 (Canada, Japan); A2644 (China, Hong Kong); A2645 (Russia), it might be late to American markets , hope you know that the major factories are located in China , and they source some of its components from Samsung-Korea!☺
ReplyDeleteIPHONE 13
ReplyDeleteNot just the best iPhone ever, but also the one with the 'biggest camera update ever' - that would be this year's iPhone 13 Pro, which we have here in Max size. Joining those larger and better cameras, we have a high refresh rate display, more battery, the mandatory chipset upgrade - the 13 Pro Max ticks all the boxes for improving everything that's important. We're here to see by just how much.
The advancements in the camera system start with a new primary unit with a bigger sensor and a brighter lens. The ultrawide module also sports a brighter lens, but one that features autofocus - a first for an iPhone ultrawide. Then there's the telephoto which now offers improved reach up to 3x, albeit with a slightly dimmer lens. On the front, things have remained the same, and no, the 20% reduction in notch size doesn't count.
Finally giving in to market trends, Apple's fitted the 13 Pro and Pro Max with 120Hz displays - or, rather, ProMotion. They're the adaptive kind, theoretically capable of variable refresh rates to reach all the way down to 10Hz to preserve battery. That's in addition to an already great screen feature set that includes DolbyVision support, plenty of brightness and excellent color rendition.
Apple iPhone 13 Pro Max review
2021 iPhones all come with increased battery capacity, and in the 13 Pro Max' case, that's an 18% bump - 2.5 hours more than last year's Pro Max in Apple's metrics, or 'longest battery life ever on an iPhone', and all that.
As usual, a new year means an upgraded chipset, and alongside freshly named CPU cores and higher clock rate, the A15 in the 13 Pros also comes with an extra GPU core on top of the non-Pros. Somewhat related, the 13 Pro Max can be specced with up to a full 1TB of storage - that should be useful for iPhone filmmakers if no one else.
Here's a few of the other more important specs.
Apple iPhone 13 Pro Max specs at a glance:
Body: 160.8x78.1x7.7mm, 240g; Glass front (Gorilla Glass), glass back (Gorilla Glass), stainless steel frame; IP68 dust/water resistant (up to 6m for 30 mins), Apple Pay (Visa, MasterCard, AMEX certified).
Display: 6.70" Super Retina XDR OLED, 120Hz, HDR10, Dolby Vision, 1000 nits (typ), 1200 nits (peak), 1284x2778px resolution, 19.47:9 aspect ratio, 458ppi; Wide color gamut, True-tone.
Chipset: Apple A15 Bionic (5 nm): Hexa-core (2x3.22 GHz Avalanche + 4xX.X GHz Blizzard); Apple GPU (5-core graphics).
Memory: 128GB 6GB RAM, 256GB 6GB RAM, 512GB 6GB RAM, 1TB; NVMe.
OS/Software: iOS 15.
Rear camera: Wide (main): 12 MP, f/1.5, 26mm, 1.9µm, dual pixel PDAF, sensor-shift OIS; Telephoto: 12 MP, f/2.8, 77mm, PDAF, OIS, 3x optical zoom; Ultra wide angle: 12 MP, f/1.8, 13mm, 120˚, PDAF; Depth: TOF 3D LiDAR scanner.
Front camera: Wide (main): 12 MP, f/2.2, 23mm, 1/3.6"; Depth: SL 3D.
Video capture: Rear camera: 4K@24/30/60fps, 1080p@30/60/120/240fps, 10‑bit HDR, Dolby Vision HDR (up to 60fps), ProRes, Cinematic mode, stereo sound rec; Front camera: 4K@24/25/30/60fps, 1080p@30/60/120fps, gyro-EIS.
Battery: 4352mAh; Fast charging 27W, 50% in 30 min (advertised), USB Power Delivery 2.0, MagSafe wireless charging 15W, Qi magnetic fast wireless charging 7.5W.
Misc: Face ID, accelerometer, gyro, proximity, compass, barometer; NFC; Siri natural language commands and dictation, Ultra Wideband (UWB) support.