Mbaroni Kwa Kukutwa Akifanya Mapenzi na Mbuzi Kichakani

 


Jeshi la Polisi mkoani Kagera linamshikilia kijana mmoja aitwaye Anisetha Joanes kwa kukutwa na vifaa tiba vya hospital ya serikali pamoja na vifaa vya miundombinu ya umeme jumla vikiwa na thamani ya zaidi ya shilingi milioni 125 akitaka kuviuza katika vyuma chakavu.

Katika tukio la pili jeshi la polisi mkoani kagera linamshikilia kijana mmoja aitwaye Emmanueli Zacharia mkazi wa kijiji cha Lusahunga wialayani Biharamulo mkoani Kagera kwa kukutwa akifanya mapenzi na mbuzi kichani ambapo baada ya kuhojiwa alisema alizidiwa na tamaa za mwili.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad