Mke wa Mheshimiwa DC wa Kisarawe Nikki wa Pili Aibuka Best Student Tanzania Masomo ya CPA



Mke wa Mheshimiwa DC wa Kisarawe Leo hii ametwaa tuzo 15, na kujipatia zawadi ya Milioni 12 akiwa kama mwanafunzi Bora, amehitimu leo CPA yake na kuibuka kuwa Best Student 🔥🔥🔥

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad