Mke wa Pili Auawa na Mume Wake Zanzibar



Joyce Kiria afunguka baada ya mdada aliyeolewa mke wa pili kudaiwa kuuliwa na mumewe huko Zanzibar.

"Huyu ndo inasemekana kauliwa kikatili na mume wake…. Mimi nilishakataa huu upuuzi wa kuvumilia vipigo na Manyanyaso ya kipumbavu…. Acha tuu watu wasinielewe ivo ivo lakini nikae kwa amani….

Wanawake wengi wanaoteseka na vipigo na manyanyaso ya ndoa wanaogopa sana kuachika kwa sababu jamii itawaona hawana thamani, jamani hivi kati ya kupoteza maisha kwenye ndoa na kudharauliwa na jamii kipi bora?

Wanawake wengine ni tegemezi kwa hiyo wanaogopa kutoka kupambana na maisha ndo maana wanavumilia ujinga Amkeniiiiiiiiii Ndoa za Manyanyaso achaneni nazo jamaniiiiiii 

Yaani ukimsikiliza huyo afande kwenye video ya nyuma anavyozungumzia hili tukio utagundua huyu dada ameuliwa kikatili mnooo
 


Wanawake nawapenda sana naumia sana navyoona haya matukio lakini sina jinsi ya kuwasaidia ndugu zangu 
UKATILI HAUVUMILIKI HATA KIDOGO 🙌🙌" ameandika Joyce Kiria

MATANGAZO YA BIASHARA HAP PIGA SIMU 0714604974

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad