Mti wa asili wa jamii ya Marula uliokuwa ukitumiwa na watu mbalimbali wa zamani kwa matambiko umeachwa na kuhifadhiwa na Menejimenti ya Hifadhi ya Taifa ya Nyerere iliyopo Morogoro
Zana za kisasa zimeshindwa kuuondoa mti huo ili kupisha upanuzi wa barabara kuu inayopita hifadhini, hivyo umeachwa kuwa kivutio cha asili