Mwijaku Azua Sintofahamu Mazito Yanayoendelea WCB


DC, wa Instagram ,Kwa jina lingine MWIJAKU ameendelea kutuweka kwenye sintofahamu,watumiaji wa mitandao ya kijamii, kuhusu kinacho endelea WCB Kwa sasa, japo mwijaku mara nyingi huwa haweki wazi kwakusema WCB moja kwa moja huwa anapenda kutumia majina ambyo hayako wazi ,lakin mashabiki wengi wanalielewa Hilo kwamba niwakina Nani hasa ambao mara nyingi anakua anawalenga!!.

👉 Ukifatilia post za mwijaku masaa 21 yaliyopita, yanazua sintofahamu na hueenda zikakueka kwenye maswali mengi.

Kwa lugha za mtaani , kuna moja ya post ya mwijaku inadhirisha kwamba kuna mwanaume tayali , ashaacha kutambulika Kama mwanaume uko WCB

👉 Post , nyingine tukiichambua vizuri inaonyesha kwamba "mwambino" au "diamond" anamdharau Baba yake Kwa sababu wanalingana..na mama Ake, mama dangote hapendezwi na icho kitu , kwahiyo akamgombeza ....moja ya kipande nilichokitoa kwenye post ya mwijaku kiliandikwa kama ifuatavyo👇

"Huyo ni baba ako hata kama mnalingana nae , mama mwambino anamwambia mwambino"



👉Pia mwijaku ameandika .."malipo ni hapa hapa duniani, mbinguni ni hesabu tu"
Hapa huenda anamaanisha kuna mazito yameanza kuwakuta WCB ,na Pengine unaeza kujiuliza maswali mengii anamaanisha nn huyu kijana akiandika Ivo..

Ni nini maoni yako ndugu msomaji?


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad