HomeNyota Kali ya Rayvanny na Warembo wa Video Nyota Kali ya Rayvanny na Warembo wa Video 0 Udaku Special October 18, 2021 Rayvanny ndio msanii pekee Tanzania ambaye amefanikiwa kuwatoa mavideo Vixen kuwa watu maarufu kupitia ngoma zake. Alianza na Llyn, Fahymah na Nana umaarufu wao kwa asilimia kubwa umechangiwa na nyota ya Rayvanny 🙌 Newer Older