Patrick Kanumba Amkataa Happy wa Beka Flava "Huyu Sio Type Yangu Siwezi Kudate Nae"



Muigizaji Anayefanya Vizuri Kwasasa Hapa Tanzania Othiman Njaidi (Patrick Kanumba) Ameamua kuweka sawa Kutokana na Skendo yake Kuwa Yupo Kwenye Mahusiano ya Kimapenzi na Aliyewahi Kuwa Mpenzi wa beka Fleva Ambaye anaitwa Happiee_Reuter.

"Siwezi Kuwa na Mahusiano Ya Kimapenzi na Happie Kwanza Zile Zio Aina Ya Wanawake Ambao Mimi Nawataka, Sijawahi Kuwa Nae na Siwezi Kuwa Nae Wala Hajawahi Nivutia Kabisa Kimapenzi"-Ameongea Patrick Kanumba

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad