R. Kelly amponza Akon




KAULI ya staa wa muziki, Akon, kusema mkali wa R&B, R. Kelly, apewe apewa nafasi nyingine ya kujirekebisha imemfanya ‘aoge’ matusi huko mitandaoni.

Mashabiki wengi wamemjia juu Akon wakidai R. Kelly aliyekutwa na hatia katika kesi za unyanyasaji wa kingono anapaswa kuadabishwa.

“(Akon) huoni kama umechelewa kidogo??? R. Kelly anapaswa kuacha kubaka wasichana,” amesema mmoja ya watumiaji wa mitandao.

Kwa upande mwingine, Akon amesisitiza kuwa hakuna wa kupinga kipaji kikubwa alichonacho R. Kelly.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad