Ruvu Shooting yazindukia Musoma Wamchapa Mtu

 


Klabu ya Ruvu Shooting imezinduka usingizini mkoani Mara kwa kuichapa Biashara United Mara kwenye uwanja wake wa nyumbani uliopo mjini Musoma.

Biashara United Mara ambao walikua wanachagizwa na matokeo ya sare ya bila kufungana dhidi ya Simba SC mwanzoni mwa juma hili, wamepoteza mchezo huo Uwanja wa Karume, na wanaendelea kusalia na alama moja kwenye msimamo wa Ligi Kuu.

Bao la Ruvu Shooting kwenye mchezo huo limefungwa na Mshambuliaji mzawa Rashid Juma katika dakika ya 47.

AJIRA: 10 New Job Opportunities at AMREF Tanzania - Various Posts

Ruvu Shooting wanapata alama tatu za awali katika Mshike Mshike wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu, baada ya kuanza vibaya kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Dodoma Jiji FC mwanzoni mwa juma hili.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad