Shilole Ampiga Dongo Muna Love Kiaina "Usishindane na Watoto Wadogo Wenye Matumbo Madogo Umesha Zeeka"


"Wazungu mliosoma mtusaidie jamani alichosema huyu dada.

Wanawake wenzangu tujikubali na Mungu alivyotuumba.Kuna muda itabidi tukubali kuwa umri umetuacha na tukubali matokeo.Mkitaka kushindana na hawa watoto wenye vitumbo vidogo tutakufa kizembe

Maana naona safari za uturuki zimekuwa nyingi sana ndugu zangu acheni kuiga Mastar wa nje hao ni matajiri nyie wenzangu chai ya rangi asubuhi na kitumbua inahusu.

Vibonge wenzangu @shamsaford tujikubali"-Ameandika @officialshilole

Una maoni gani?

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad