Timu ya Wananchi Yanga Wanakuja na Kinywaji Chao


Taarifa za ndani kabisa zinasema kuwa Timu ya Wananchi @yangasc1935 chini ya GSM wanakuja na kinywaji chao rasmi cha "GSM Cola"

Ghalib Said Mohamed ameamu kuleta kinywaji hicho kipya sokoni, hivyo wananchi mkae mkao wa kula 🙌

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad