Uhusiano Wangu na Babangu Ulikuwa wa Kutilia Shaka, Kupitia DR Kiwanga, Mambo Yalikuwa Mazuri

 


Kila mtu hutaka awe na uhusiano mzuri haswa na wazazi wake. Ama kwa hakika uhusiano mzuri  na mzazi huwezesha mtu kupata Baraka kutoka kwa wazazi wale na hata mambo mengine  kama kurithi mali yao hukuwa rahisi kupata suluhu. Kwa jina ni Omolla kutoka katika kaunti ya  Homa Bay. Nilikuwa mwana pekee katika familia yetu. Wazazi wangu walithamini sana na kwa  mara nyingi hawakutaka jambo baya litoke katika maisha yangu wakati wowote ule.Baada ya  kufika katika chuo kikuu, hapo ndipo nilianza kuwa na misimamo mikali kuhusu babangu mzazi. 

Kwa mara nyingi hatukuskizana naye kwani hata nilimdhalilisha kwa kuwa hakuwa amesoma  kifikia chuo kikuu kama vile mimi. Nilisahau kwamba yeye ndiye aliyeniwezesha kupata elimu ile  mpaka kwenye chuo kikuu na hapo nikaanza kumpa mgongo. Chochote alichonieleza sikutilia  maanani na kwa wakati mwingi nilikuwa wa kumdharau. Licha yake kuwa babangu mzazi,  nilikuwa nikibishana naye mithili ya kijana mwingine tu wa rika yangu na hilo halikumfurahisha  kwa kila hali. Swala hili lilipelekea yeye kunitelekeza kabisa ma hata akanieleza waziwazi  kwamba sikuwa mtoto wake kabisa na kwamba sikuwa kwenye hesabu yake kama mwanawe. Kwa mara mingi mama mzazi alikuwa akijaribu kumaliza uhasama baina teu lakini yote yalikuwa  ni usiku wa giza totoro kwani hatukupatana na babangu mzazi. Nilikuwa na misimamo hasi  kumhusu naye pia alikuwa kesha nitelekeza kama mwanawe na mwanawe wa pekee. 

Ilifikia wakati fulani babangu aliugua sana na hata alionyesha ishara kwamba alikuwa kwenye  safari yake ya mwisho duniani. Hapo nilikuwa mwenye hofu kwani nilitaka tusameheane kwani  haikuwa vizuri aiage dunia tukiwa na kutoelewana baina yetu. Nilienda hospitalini alipokuwa  amelazwa kwa ajili ya msamaha wake. Hapo alikataa kunisamehe lich ya ushawishi wa mama  wa kuleta mapatano baina yetu. Siku zilisonga nab ado mtafaruko baina yangi na babangu 

uliendelea kuwepo. Siku ziliendelea kusonga na hata nikapata kuoa lakini bado mimi na  babangu mzazi tulikuwa na misukosuko ya kutoelewana. 

Niliketi chini na kijifikiria vizuri nikapata kujua kwamba mimi ndimi nilikuwa na makosa. Hapo  nilianza mikakati ya kuleta uhusiano na babangu mzazi kwani nilimdhamini sana kama baba. Niliweza kumshirikisha rafiki yangu Marley na hapo akanipa ushauri kwamba daktari Kiwanga  aliwahi msaidia kumaliza shida sampuli ile ambayo aliwahi kuwa nayo yeye na babake kwa  wakati mmoja. Nilipigia daktari Kiwanga baada ya suhuba wangu kunipa nambari yake. Alinialika afisini pake kwa usaidizi. Daktari Kiwanga alifanya tambiko lake la kiasilia ambapo  alinipa hakikisho uhusiano wangu na babangu ulikuwa urejelee katika siku kama za kitambo. 

Nilirejea nyumbani na kufunga safarikwenda kijijini kumoana baba. Mara hii yeye ndiye  aliyenikaribisha na hapo nikajua kwamba daktari Kiwanga alikuwa ni mtu wa kuaminika katika  usaidizi wake. Tangu siku ile uhusiano wangu na babangu ulikuwa ni dhabiti ajabu. Daktari  Kiwanga hutibu maradhi kama kifua kikuu, kisukari, msukomo wa damu, kifafa na magonjwa  mengineyo. Husuluhisha shida za kifamilia kama kutokouwa na uwezo wa kupata mtoto,  kutopata mchumba wako wa maisha, shida za ndoa, kuwa na bahati katika maisha haswa katika  michezo ya kamari na mengineyo. Ama kwa hakika daktri Kiwanga ni mtu wa kutegemewa  katika jamii kwa ajili ya kusuluhisha mambo yanayowakosesha watu mbalimbali usingizi ama  maisha bora yenye matamanio. 

Kwa mahojiano na daktari Kiwanga kwa ajili ya kusuluhisha  shida zako, piga simu kwa nambari +254769404965

/barua pepe kiwangadoctors@gmail.com 

ama tembelea wavuti wwww.kiwangadoctors.com kwa mengi zaidi. 


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad