Baada ya gari lake kuchomwa moto usiku wa kuamkia leo Septemba 29 2021, Mbunge wa Jimbo la Mbozi mkoani Songwe George Mwenisongole amesema ni kwa takribani miezi miwili sasa amekuwa halali nyumbani kwake.
-
Amesema amekuwa akilala maeneo tofautitofauti kwani kuna Watu anahisi wamekua wakimfuatilia maisha yake hivyo anafanya hivyo kuwakwepa ambapo wakati tukio hili la moto linatokea hakuwepo nyumbani kwake na analihusisha na vita ya kisiasa.
TANGAZA BIASHARA YAKO NA NASI: TUCHEKI WHATSAPP 0714604974