Wote bado tuna safari ndefu, sasa tunachekana kwa lipi...?! Ni kweli hatua tumezidiana, ila hakuna aliyefika nchi ya ahadi!
Nipo ughaibuni naona jinsi, Wizkid anajaza show, na Tiwa Savage anakuja kum-support, na Wizkid akiwa hana show, anaenda kwenye show ya Burnaboy... na Alienda hadi kwenye show ya Davido! SISI TUNACHEKANA!
Music fans are very fickle... Hasa hawa wa huku ughaibuni. Ni muhimu kuwapa Experience ya maana ili wawe loyalists!! Tupende tusipende, sisi muziki wetu bado; na pengine sababu sio kutokana na mapungufu yetu, ila we are not doing ourselves a favor kwa kuleta kwa kuleta ushindani na uswahili usio na tija.
Mwenye Sikio na asikie...
The Leader."