Anerlisa "Kitendo Cha Ben Pol Kubadili Dini na Kuwa Muislam na Baada ya Wiki Mbili Kurudi Ukifristo Kilinishangaza"


Mpenzi wa zamani wa mwanamuziki Ben Pol ,mfanya biashara kutoka Kenya @anerlisa amefunguka kuwa alishangazwa na maamuzi ya mpenzi wake huyo wa zamani kubadili dini kutoka kuwa mkristo na kuwa muislam kwa muda wa wiki mbili tu.

Kulingana na mahojiano yake aliyofanya baada ya kuingia nchini @anerlisa amefunguka mengi ikiwemo kuumizwa na kitendo cha msanii huyo kuongea kuhusu ndoa yao baada ya kuachana, huku akiweka wazi kuwa alishangazwa zaidi na maamuzi ya msanii huyo kubadilisha dini kutoka dini ya ukrito kwenda dini ya kiislam na baada ya wiki mbili alibadilisha kurudi tena kuwa mkristo..

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad