Askari wa Msumbiji washutumiwa kuwanyanyasa raia



Mkuu wa jeshi la Msumbiji amesema baadhi ya jeshi lake linapambana na wapiganaji wa kiislamu magharibi mwa nchi hiyo wamekuwa wakiwanyanyasa raia na kuwaibia vitu vyao.
Admiral Joaquim Mangrasse amesema wanajeshi 30 walikuwa kizuizini wakituhumiwa kupora benki katika mji wa Palma, ambao ulitekwa kwa muda mfupi na wanamgambo wa kiislamu mapema mwaka huu.

Wanajeshi wamewaiba pia bidhaa za wakazi na mazao ya wanajiji.

Na wanashutumiwa kuuwa na kutesa watu wakiwashukia kuwa na uhusiano na wapiganaji wa jihadi.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad