EXCLUSIVE:Msanii wa muziki wa bongofleva @officialbabalevo amemchana @harmonize_tz kuvujisha sauti ya @rayvanny
"Yule ni muongo ile sauti ameivujisha zamani sana kwa uongozi wa WCB na akategemea @rayvanny ataharibikiwa na hakuharibikiwa chochote,asiseme kama ndiyo ameitoa juzi,alishaivujisha ikafika WCB ikasikilizwa na haina madhara yoyote" Babalevo
Kama Umependa Habari Hizi Download APP ya UDAKU SPECIAL Kwenye Simu Yako Kwa Kubonyeza >>HAPA
"Hajaaribu tena ndio kabisa big boss Diamond Platnumz Kamuongezea hela ameenda kufanya Colabo kubwa za Dunia na Kina Justin Bierber huko" Baba Levo
We sesi levo inaonekana shoga
ReplyDelete