Bilionea Laizer Apata Tena Madini ya Bilioni 3, Waziri Biteko afika




Bilionea wa kitanzania Sendeu Laizer ambaye November 2020 alipata madini ya Ruby ya zaidi ya bilioni moja ameingia tena kwenye headlines Tanzania baada yakupata madini mengine ya Ruby yenye thamani ya shilingi bilioni 3.17 katika machimbo ya Mundarara yaliyopo wilayani Longido Mkoani Arusha ambapo waziri wa madini Dotto Biteko amefika eneo hilo nakushuhudia madini hayo.




Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad