Breaking News: List ya Waliochaguliwa Kujiunga FORM ONE 2022


Dodoma. Serikali imetangaza wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2022 huku ikisema imawapa kipaombele wanafunzi wa vijijini shule za kitaifa za bweni.

Akitangaza uchaguzi huo leo Jumatano Novemba 24, 2021, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Tamisemi), Ummy Mwalimu amesema nafasi zinazokwenda kwa wanafunzi wa bweni ni za shule za kitaifa.

Katika upangaji wa mwaka huu wanafunzi wote 907,802 waliofaulu mtihani wamepangiwa kuanza masomo Januari 17, 2022 kwa wakati mmoja baada ya maandalizi ya Serikali.

 

BONYEZA HAPA KUSOMA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad