Dunia huwa na mambo mengi na sio kila mtu hukutakia mema kila wakati maishani. Watu wengine huona tu maedeleo yako maishani swala ambalo huwafanya kufanya juhudi zozote kukurudisha nyuma kimaisha. Ama kwa hakika dadangu alikuwa ni mtu wa bidii katika shuguli mbalimbali za maisha yake. Alikuwa bado kwenye chuo kikuu mjini Nairobi ambapo alikuwa akisomea shahada katika mambo ya uanhabari. Tulikuwa na imani kwamba siku moja angekuja kufanikiwa na kututoa kwenye hali ya uchochole iliyokuwa imeghubika familia yetu. Kila mtu alikuwa akimtakia mema katika maisha yake ya masomo chuoni Nairobi. Hatukujua pia hasidi hawakulala.
Wakati mmoja aliporejea nyumbani kutoka chuoni kwa ajili ya mapumziko ya likizo ndefu tulishangazwa alivyoanza kuropkwa kwani haikuwa kawaida yake kuwa mtu wa mambo mengi haswa mengine ya kutisha.s wakati mwingine aligutuka usingizini na kuchukua kisu huku akitishia kujitoa uhai.s hali ile ilitupa wakati mgumu kama jama wake kwani kila usiku tulikesha kando yake ili asifanye jambo lolote la kumdhuru. Kulikuwa na pepo fulani ambayo ilikuwa inaongea ndani yake na hali ile ilitushangaza sana. Wakati mwingine aligaragara sakafuni huku akitaja mpenzi wake katika chuo kikuu ambaye alisema kuwa ndiye alikuwa keshamwingiza katika mambo ya kumuabudu shetani. Hapo tulijua kwamba mhibiri wa kanisa letu angetupa mwanga kupitia maombi.
Siku iliyofuatia tulienda kanisani kwa ajili ya maombi spesheli kwa nia ya kumsaidia dada yetu kwani hali ile ilikuwa imemponza sana. Kula chakula hata ilikuwa balaa kwa mara nyingi. Liha ya wahubiri wa neno mbalimbali kumwombea hali ile ilikuwa bado donda sugu kwani halkuonyesha dalili yoyote ya mapepo yale kumtoka.
Alipasua vijisahani chumbani mwetu na mara kwa mara mame yetu mzazi alipiga magoti akimwombea kwani alikuwa mwenye huzuni sana ni vipi dada yetu kapagwa na ambaye alikuwa ndilo tegemea la kesho kwa familia yetu.
Kupitia radio tuliweza kusikia kuhusu daktari tajika wa tiba asilia kwa jina daktari Kiwanga na hapo tulichukua hatua ya kuwasiliana naye kwani tulitaka afueni ya haraka kwa dada yetu ambaye hali yake ilikuwa mbaya sana kutokana na kupagawa. Nilimpigia daktari Kiwanga na hapo akatenga muda ambapo tungeandamana na dada yetu hadi kwenye mahala pake pa kufanyia kazi. Tuliwasili kwa ofisi ya daktari Kiwanga na ama kwa hakika njiani ilikuwa ni vigumu sana kumdhibiti dada yetu. Mimi pamoja na mamangu tulikuwa tumemfunga na mikanda ili atulie. Watu njiani walituangalia kwa mahsngao kweli. Daktari Kiwanga alifanya matambiko yake ya tiba asili na kumwondolea dada yetu jinamizi lile.
Wakati huu wote alikuwa keshawacha masomo yake. Tulirejea nyumbani na hakuna lolote lililotokea tena kwani daktari Kiwanga alikuwa keshamaliza kila kitu. Dada yetu alirejea chuoni baadaye na kumaliza masom yake ambapo alipata kazi katika runinga moja mjini Nairobi. Heko kwako daktari Kiwanga.
Daktari Kiwanga hutibu maradhi kama kifua kikuu, kisukari, msukomo wa damu, kifafa na magonjwa mengineyo. Husuluhisha shida za kifamilia kama kutokouwa na uwezo wa kupata mtoto, kutopata mchumba wako wa maisha, shida za ndoa, kuwa na bahati katika maisha haswa katika michezo ya kamari na mengineyo. Ama kwa hakika daktri Kiwanga ni mtu wa kutegemewa katika jamii kwa ajili ya kusuluhisha mambo yanayowakosesha watu mbalimbali usingizi ama maisha bora yenye matamanio.
Kwa mahojiano na daktari Kiwanga kwa ajili ya kusuluhisha shida zako, piga simu kwa nambari +254769404965/
barua pepe kiwangadoctors@gmail.com
ama tembelea wavuti www.kiwangadoctors.com kwa mengi zaidi.