Diamond Platnumz Afunguka Baada ya Rayvanny Kuvunja Rekodi, Harmonize Atupiwa Dongo Kiaina



Diamond Platnumz ameandika haya:

"The first Afirican Artist to Perfom #MTVEMA @rayvanny Chui 🐅 👑.... Niwakumbusha Msanii wa Kwanza Africa Kuperform MTVEMA anatokea Tanzania, Mkoa wa Wasafi na sasa ni Raisi wa Next Level Mh @rayvanny ... Vijana wenzangu Tujifunzeni Kuwa na Nidhamu na Fadhila ili Sanaa zetu zitufikishe mbali zaidi na tusiishie kwenye Mihadarati....🐅 #WCB4life #NextLevel #Tetema"

Hapo inaonekana Big Mondi kamtupia Dongo kijana wake wa zamani Harmonize kuhusu mihadarati

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad