Headlines za mtangazaji kutoka Wasafi FM @divatheebawse ambae ameeleza kuwa inamgharimu kiasi cha zaidi million 10' kwaajili ya kugharamia urembo wake kwa Mwaka mzima
Diva emefunguka kwamba gharama hizo zinatokana na gharama za vipodozi ambavyo amekua akivitumia kila mwezi ambavyo vingi amekua akiagiza kutoka nje na vingine kutoka hapa hapa nchini.