GSM "Yanga Inalipa Mishahara ya Wachezaji Yenyewe Sio Kama Makolo"


''TIMU hizi zinajiendesha kwa hasara kwa miaka mingi ndio maana zimekwama. Ukisema hivi mtu anaweza asikuelewe lakini ukitazama mapato ya klabu na matumizi ndio utajua kwanini zinajiendesha kwa hasara.

''Yanga inalipa mishahara yenyewe, ina mifumo yake ya kuajiri watu sisi tuna-support tu. Yanga timu kubwa huwezi kufananisha na makolo. Huwezi kumleta mchezaji kama Bangala halafu hajui analipwa na nani.

''Tumechagua mfumo wa wanachama na wawekezaji. 51% kwa wanachama na 49% kwa wawekezaji. Hili tumejifunza La Liga na ndio maana unaweza ukaona kwanini Real Madrid na Barcelona zinapendwa na watu duniani. Tumejifunza kitu kikubwa sana,'' Eng. Hersi Said, Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM na Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Yanga.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad