Ipokee Hii Orodha Ya Wasanii 10 Bora Wa Muda Wote (Greatest Of All Time) Kwa Mujibu Wa #Billboard Huku #RIHANNA Akipata Bahati Ya Kuwa Msanii Mwenye Umri Mdogo Kwenye List Hiyo.
1. #TheBeatles
2. #Madonna
3. #EltonJohn
4. #ElvisPresley
5. #MariahCarey
6. #StevieWonder
7. #JanetJackson
8. #MichaelJackson
9. #WhitneyHouston
10. #Rihanna
Vipi Kibongo Bongo Uanweza Kuipangaje List Ya Wasanii Bora Wa Muda Wote?