@adamchomvu @lilommy na @djaroarungu ndio Watangazaji pekee kutoka Tanzania waliobahatika kuingia katika Category ya "Best Media Personality" katika Tuzo za @aeausa
Je kwa kuangalia ukubwa wao ndani ya bara hili la africa na mambo waliyofanya ndani ya Mwaka jana na mwaka huu, ni nani kati ya Mchomvu, Djaroarungu na LilOmmy anaweza kubeba Tuzo hiyo? Au Tuzo hiyo itabebwa na mtu kutoka nchi nyingine?
Tujikumbushe tu Mwaka 2019, Lil Ommy Alifanikiwa kutunukiwa Tuzo Hiyo. MWAKA HUU ITAKUWAJE, ACHA TUSUBIRI.