Jenipha Kanumba "Bikira Yangu Nimekutunzia Patrick Kanumba Mume Wangu"



Kupitia ukurasa wa instagram wa mwanadada #_hanipha (Jenipha Kanumba) ametupia picha iliyoambatana na ujumbe aliyouandika "BIKRA BIKAVU" na alipoulizwa na #othmanjaidi1 (Patrick Kanumba) kama ni Kweli Ameitunza Bikra yake alimjibu na kusema ameitunza bikra yake kwa ajili yake PK.Katika Upande wa maoni ilikua kama hivi:•

✅Jenipha Kanumba-Bikra Bikavu
✅Patrick Kanumba-Umeitunza Mwenyewe
✅Jenipha Kanumba-Nimekutunzia Wewe Mume Wangu


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad