Klabu Bora Afrika Kwa Sasa Hizi Hapa




Msimu wa 2021/22 unaendelea, hizi ni takwimu za timu bora uwanjani kwa mujibu wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), vigezo ni matokeo ya uwanjani katika michuano inayoandaliwa na shirikisho hilo kwa misimu mitano iliyopita.

Pointi za ubora zinaweza kuongezeka kwa kuwa msimu unaendelea. Kwenye mabano ni pointi za ubora:

1. Al-Ahly (78)
2. Espérance de Tunis (65)
3. Wydad Casablanca (63)
4. Raja Casablanca (54)
5. Zamalek (47)
6. Mamelodi Sundowns (46)
7. TP Mazembe (45)
8. RS Berkane (41)
9. Horoya (38)
10. Étoile du Sahel (36)
11. Pyramids (31)
12. JS Kabylie (28)
13. AS Vita Club (26)
14. Kaizer Chiefs (25)
15. Simba (24)
16. Enyimba (24)
17. CS Sfaxien (21)
18. Al-Hilal (21)
19. MC Alger (19)
20. Hassania Agadir (18)
21. Coton Sport (16)
22. Orlando Pirates (16)
23. 1º de Agosto (16)
24. CR Belouizdad (15)
25. Petro de Luanda (14.5)
26. Al-Masry (14)
27. ES Sétif (13)
28. USM Alger (12)
29. ZESCO United (11.5)
30. Nkana (11)
31. ASC Jaraaf (10)
32. Zanaco (10)
33. CS Constantine (9)
34. Club Africain (9)
35. Al-Nasr (8)
36. Gor Mahia (8)
37. Al-Merrikh (7)
38. Enugu Rangers (7)
38. FC Platinum (7)
40. JS Saoura (6)
40. Lobi Stars (6)
42. Teungueth (5)
43. Djoliba (5)
44. ASEC Mimosas (5)
45. KCCA (5)
46. Faso Salitas (4)
47. Paradou AC (4)
47. DC Motema Pembe (4)
49. CARA Brazzaville (4)
49. Difaâ El Jadidi (4)
49. Rayon Sports (4)
52. SuperSport United (4)
53. NA Hussein Dey (3)
53. Ismaily (3)
53. Asante Kotoko (3)
56. Mbabane Swallows (3)
57. Al-Ahli Tripoli (3)
57. FUS Rabat (3)
57. Ferroviário Beira (3)
60. Al Ahly Benghazi (2.5)
60. Namungo FC (2.5)
60. NAPSA Stars (2.5)
63. ESAE (2)
63. FC San Pédro (2)
63. FC Nouadhibou (2)
63. Bidvest Wits (2)
67. Township Rollers (2)
67. Williamsville AC (2)
67. UD Songo (2)
67. AS Togo-Port (2)
71. Saint George (2)
71. Al-Hilal Al-Ubayyid (2)
73. AS Otôho (1.5)
74. Aduana Stars (1)
74. Young Africans (1)
76. Recreativo do Libolo (1)
76. CAPS United (1)
78. Smouha (0.5)
78. CF Mounana (0.5)
78. Rivers United (0.5)
78. Platinum Stars (0.5)

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad