Kusah Afunguka Kuitwa Anko na Mtoto wa Moses Iyobo na Aunty Ezekiel


Mwanamuziki na mtunzi wa bongofleva @_kusah_ amefunguka maisha yake ya mahusiano na mke wake @auntyezekiel pamoja na familia yake pindi wanapokua nyumbani.

Kupitia kipindi cha Lavidavi ya Wasafi FM' @_kusah_ ameeleza kuwa Aunt Ezekiel anapokuwa nyumban sio aunt bali ni mama kabisa na wife material, huku akieleza kuwa mtoto wake mlezi #cookie hupendelea kumuita uncle 'K' baada ya baba.

Pia Kusah ameeleza kuwa waliishi miaka 2 kabla ya kuamua kufunga ndoa ya kimya kimya akidai waliamua kufanya hivyo kwa kuwa ndoa si matangazo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad