Kutana na Mwanamke Mfupi Kuliko Wote Duniani Kwa Mujibu wa Guinness World Record


Kutana na mremboJyoti Amge (27), mrembo kutoka India, ambaye anaendelea kushikilia rekodi ya kuwa mwanamke mfupi zaidi duniani.

Kwa mujibu wa Guinness World Record, Jyoti ana urefu wa sentimeta 62.8 amechukua rekodi hii kutoka kwa Bridgette Jordan ambaye alikuwa anashika rekodi hiyo akiwa na urefu wa sentimenta 69.

Jyoti Amge hapo awali alikuwa ameshikilia taji la kijana mfupi zaidi (mwanamke) anayeishi ila mpaka sasa Jyoti bado anashikilia rekodi ya mwanamke mfupi zaidi duniani ambayo alipewa mwaka 2012.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad