Kwisha Habari yake..China Yachukua Uwanja wa Ndege wa Entebe



Benki ya China, Exim Bank imechukua Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa #Entebbe na mali nyingine za Uganda baada ya kushindwa kulipa mkopo wa Dola milioni 207(Tsh. Bilioni 476.7)

Mkopo huo ulikuwa unaiva ndani ya miaka 20 huku ukiwa na kipindi cha matazamio cha miaka 7. Rais Yoweri Museveni alituma ujumbe #Beijing kujadili suala hilo lakini halikuzaa matunda

Waziri wa Fedha, Matia Kasaija ameliomba radhi Bunge la #Uganda kwa kutozitumia vyema Fedha hizo walizokopa kupanua Uwanja wa Ndege wa wa Entebbe


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad