Mange Kimambi "Huyu Briana DEMU wa Harmonize Hajatulia, Anakuja Kutuvuruga Kama Zari


Ameandika Mangekimambi_ 
"Huyu Briana nshamsoma, hajatulia. Huyu anakuja kutuvuruga kama Zari alivyotuvurugaga kipindi wanaanza project na Dai. Nawaambieni mimi, nshamuona huyu ni dizaini ya Bi Tukinao 100% tena kushinda Bi TukinaoYani huyu anakuja kutukosesha amani kwenye nchi yetu wenyewe. Yani inabidi tujue jinsi tutadili nae ili asije kutuumiza vichwa. 

Alafu ako na mshepu wa kiswahili. Her body is Fire meeein." Mange

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad