Maskini Haji Manara Atokwa na Chozi Akimuaga Mtoto Wake wa Kike


Reposted from @hajismanara Alfajiri ya leo ilikuwa ni time ngumu zaidi kwangu wakati nikimsindikiza Airport Binti yangu Hamida aliyeongozana na Mama yangu,wakielekea Istanbul Uturuki,ambapo mwanangu huyo wa kwanza anaenda kuanza masomo yake ya Chuo kikuu.

Ukiacha nyakati mnazokuwa safarini, maisha yangu yote nimeishi na Hamida wangu popote pale nilipoishi, sijui itakuwa vp maisha bila mtu niliyeishi nae kwa miaka yake yote kumi na nane.


Dada zangu mnaokuja nyumbani mara kwa mara, @zamaradimketema @auntyezekiel , @hamisamobetto , @batuliactresstz , @monalisatz na wengineo...

nimekuza lakini nimeumia, nani atawahudumia juice na Maji? Nani atawakaribisha nyumbani wageni wangu kwa Smile nzuri yenye bashasha na furaha?, Hakika nimepigwa na chuma cha utosi, nimemzoea mno mwanangu huyu wa kwanza coz walau wengine for sometimes wanakuwa boarding School au kwa Mama yangu, huyu nipo nae mwenyew always.


Okay kwangu ni kuendelea kumuombea Dua ili aweze kufikia malengo yake InshaAllah.

Ntakumiss my lovely daughter, na chozi langu la Airport ni ishara ya kukutaka ukasome uje kurusha ndege kipenzi changu 🙏🏻

Allahu Baarik Habibt 👏💕

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad