Mkutano Mkuu Simba "Hizi kelelekelele za Yanga zisiwanyime usingizi, Tunaenda Kuwachapa"




Nawahakikishia Disemba 11 tutawapiga. Mbinu zote tunazijua. Tunachowaomba mashabiki ni umoja na ushirikiano.

Hizi kelelekelele zisiwanyime usingizi. Tutawapita kama wamesimama. Watashangaa. Nasema haya sababu tunayo jeuri. Simba imewekeza kwenye mpira, Simba haijawekeza kwenye kejeli, fitna na vijembe, hayo hayana tija kwetu tumeshapita huko, sisi WE ARE NEXT LEVEL.

Wanasimba mna kila sababu ya kutembea kifua mbele. Watake wasitake mpira utachezwa.

- Salim Abdallah Muhene "Try Again" Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Simba

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad