Ama kwa hakika mambo mengi hupelekea ndoa kuvunjika lakini kwa yale yaliyonikumba ni mambo ambayo kusahau itakuwa ni vigumu sana. Kwa jina ni Milkah kutoka katika kaunti ya Busia. Tuliishi pamoja na mume wangu kwa miaka kumi na mitatu na ama kweli mambo yalikuwa mazuri kwani mapenzi baina yetu yalionekana kila mara. Hatukuwa na lolote la ugomvi ama jambo la kututenganisha. Kila tulipokuwa na msukosuko kwenye ndoa, tulisuluhisha kwa kuongea kwa pamoja tena kwa upole kwani kila mtu likuwa na mapenzi ya ajabu kwenye ndoa ile yetu.
Nilikuwa na dadangu mdogo aliyekuwa kwenye chuo kiku na kila mara alinitembelea wakati ambapo alikuwa kwenye likizo kutoka chuoni Nairobi. Nilikuwa namkaribisha kwa moyo mkunjufu kwa sababu mimi ndimi nilikuwa dadake mkubwa na alinipenda sana kwa ukarimu wangu wa kumualika kwangu kila mara. Kila mara nilimwalika kwangu kwa maana nilikuwa tu nimejifungua kwa hivyo nilitaka anisaidie kazi za pale nyumbani kwani zilikuwa mingi sana kwangu peke angu. Mwezi wa December mwaka uliopita alikuja kwangu nyumbani na mchango wake katika kunisaidia kazi za pale nyumbani ulikuwa mkubwa ajabu. Hakuonekana mtu wa kufanya wanandoa kukosana kwani kila nilichomwambia ama bwanangu kumwambia alifanya bila ya malalamishi yotyote.
Siku zilivyosonga hali ilianza kubadilika kweli. Alianza kuwa na uhusiano wa karibu na mume wangu jambo ambalo sikuwa nafurahia. Lakini akilini nilijiambia ilikuwa tu ni uhusiano wa kawaida wa mtu na shemeji yake na hilo halikuwa na tabu au bugdha yeyote. Siku ziliposonga, nilishanga mbona kila wakati macho ya mume wangu yalipokutana na dadangu mume wangu alikuwa mwenye furaha ajabu. Hali ile ilianza kunitia wasiwasi kwani nilijiambia labda walikuwa na uhusiano wa kimapenzi bila yangu kujua. Mara dadangu alianza kupata nguo za kuvutia swala ambalo nilishangaa ni wapi alipokuwa akitoa hela za kununua nguo zile za dhamana.
Mume wangu ndiye alikuwa mfadhili wake na swala hilo lilinichukiza kama mke wa ndoa ile. Kila wakati mmume wangu alikataa kunieleza ukweli wake kuhusu uhusiano wake na dadangu na kila mara alicheka na kuniambia kwamba hali ilikuwa shwari kabisa kwani mapenzi yake kwangu yalikuwa ya dhati. Siku moja mume wangu aliniambia kwamba nitoke kwenye ndoa ile kwnani dadangu alikuwa kesha mzuzua na tayari walikuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi. Swala hilo liliniponza sana na hapo nikapanga mizigo yangu na kuondoka. Sikuamini mdadangu angeweza kunipokonya mume. Baada ya kufanya utafiti wangu, nilipatana na daktari Kiwanga kupitia kwenye mtandao www.kiwangadoctors.com na hapo nikawasiliana naye na baada ya wiki moja tukapatana naye.
Nilimwelezea yalikyokuwa yamenikumba na hapo akanishughulikia. Nilirejea nyumbani baada ya siku tatu na dadangu pamoja na mume wangu wakanipigia simu ambapo walisema kuwa walitaka kuniomba msamaha. Tulikutana nao na hapo niliwasamehea na kurudi kwenye ndoa yangu bila ya pingamizi yoyote. Tangu siku ile jambo sampuli ile halijawahi tokea tena katika mahusiano yangu na mume wangu. Asante sana daktari Kiwanga.
Daktari Kiwanga hutibu maradhi kama kifua kikuu, kisukari, msukomo wa damu, kifafa na magonjwa mengineyo. Husuluhisha shida za kifamilia kama kutokouwa na uwezo wa kupata mtoto, kutopata mchumba wako wa maisha, shida za ndoa, kuwa na bahati katika maisha haswa katika michezo ya kamari na mengineyo. Ama kwa hakika daktri Kiwanga ni mtu wa kutegemewa katika jamii kwa ajili ya kusuluhisha mambo yanayowakosesha watu mbalimbali usingizi ama maisha bora yenye matamanio.
Kwa mahojiano na daktari Kiwanga kwa ajili ya kusuluhisha shida zako, piga simu kwa nambari +254769404965
Barua pepe
kiwangadoctors@gmail.comAma tembelea wavuti www.kiwangadoctors.com kwa mengi zaidi.