Mwanamuziki Diamond Platnumz Katumwa PESA Mjini, Afunguka Kampuni ya Kubet


Mwanamuziki Diamondplatnumz ameendelea kufanya uwekezaji katika sekta mbalimbali nchini ambapo leo hii rasmi ametangaza kuzindua kampuni itakayokua ikijihusisha na michezo ya kubashiri nchini @wasafibetofficial

Diamond ameshare taarifa hii Kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram kwa kuchapisha logo ya kampuni hiyo na kuandika "pesa ilipo" huku aki tag ukurasa rasmi wa kampuni hiyo itakayo kuwa ikitoa pesa kwa washindi watakao shinda michezo ya kubashiri.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad