NI Mrembo Hamisa Mobetto ambapo leo 27, Novemba 2021 amewasili katika uwanja wa kimataifa JNIA Dar es Salaam.
Hapa nimekusogezea baadhi picha ushuhudie namna mrembo huyo alivyotua Dar es Salaam akitokea Dubai ambako alionekana akiwa na ukaribu na msanii wa Marekani Rick Ross.