Rais Samia "Muulizeni Marioo ‘Kwa Nini Hanywi Bia’




RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan amesmifia staa wa muziki wa Bongo Fleva, Marioo kutokana na performance ambayo ameifanya leo Novemba 23, 2021 jijini Arusha.

Mhe. Samia amesema hayo wakati akihutubia mara baada ya kushuhudia shoo kali ya Marioo na kundi lake kwenye hafla ya Wiki ya Nenda kwa Usalama ambayo Rais Samia alikuwa mgeni rasmi.

“Tumemsikia Marioo hapa ingawa Marioo anawaambia wenzie ule unywaji ni mtamu (Bia Tamu) lakini yeye hanywi, kwahiyo muangalie vizuri hapa anayekupa meseji akakisifia kitu na yeye afanye kama yeye hafanyi muulizeni kwanza kwanini?” – Rais Samia, leo Arusha.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad