Rayvanny Amshuru Diamond Platnumz Kwa Kubadilisha Maisha ya Vijana Wengi"


Baada ya kuweka wazi kumiliki vito vyenye thamani ya Million 117' mwanamuziki kutoka wcb na mmiliki wa record label ya Next Level Music (NLM) @rayvanny ameonyesha fadhila kwa kumshukuru boss wake @diamondplatnumz kwa namna ambavyo amebadilisha maisha ya vijana wengi.

Kupitia insta story yake #VannyBoy ameShare ujumbe unaosomeka
"Big thanks to the G.O.A.T @diamondplatnumz Umebadilisha Maisha ya vijana wengi sana"

Ikumbukwe kuwa #Rayvanny alikua msanii wa pili kutambulishwa kama msanii rasmi wa Record label ya WcB Wasafi baada ya #harmonize ambae tayari amejiengua katika record label hiyo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad