Sarah Afunguka Kuhusu Kurudiana na Harmonize..Akataa Kuitwa Konde Girl


Sarah alipoulizwa na shabiki kama kuna uwezekano wa kurudiana na Harmonize? Mrembo huyo amejibu kuwa hafikirii wao kurudiana

Mbali na hilo, pia Sarah amekataa kuitwa konde girl, mrembo huyo ameshaliondoa jina la Konde Girl badala yake anaendelea kutumia jina la Sarah Michelotti (Sarah_tz) katika ukurasa wake wa instagram

✍“Najua Tanzania ni nyumbani pia hivyo kuna siku nitarudi soon hakuna shida kwani ninawapenda sana Watanzania,” amesema Sarah.

Ndoa ya Sarah na Harmonize ilivunjika mwaka 2020 ambapo mwanadada huyo alidai kilichovunja ndoa yao ni kutokana na usaliti wa Harmonize.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad