Spika wa Bunge, Job Ndugai Ameitaka Kamati ya Ulinzi na Usalama Kuwaita NIDA Akisema Hawafanyi Kazi Nzuri



BUNGENI: Spika wa Bunge, Job Ndugai ameitaka Kamati ya Ulinzi na Usalama kuiita Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), akisema hawafanyi kazi nzuri

Akizungumza leo katika Kikao cha Kwanza, Mkutano wa Tano wa Bunge la 12 amesema, "Ndiyo kazi yenu kupitia hizi Kamati, waiteni kieleweke. Tumeanza nao kitambo sana"

Download Our Udaku Special APP Kutoka Google Play Store Kwa Kutumia Link Hii Hapa>>>

Aidha, Mbunge wa Makunduchi amehoji kwanini uzalishaji wa Vitambulisho umepungua kwa kiasi kikubwa licha ya NIDA kuomba mashine nyingine mbili za Uzalishaji

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad