Taarifa za Chini ya Kapeti, Yanga Ipo Tayari Kutoa Kiasi Cha Bilioni 1 Kumnyaka Chama
0
November 25, 2021
Vyanzo kutoka nchini Ghana vinaripoti kuwa,Yanga ipo tayari kutoa kiasi cha shilingi bilioni moja ili kumsajili kiungo wa zamani wa Simba,Clatous Chama anayekipiga klabu ya RS Berkaine ya Morocco.Taarifa hizo zimeripotiwa kutoka kwa Mwanahabari wa michezo nchini Ghana,Micky Jr.
Tags