Tamaa na Uigaji Hupelekea Wanachuo Kubadilika Kitabia



Mshiriki wa Shindano la Stories of Change anasema Wanafunzi wengi wanapofika Chuo huwa na mitazamo chanya juu ya maisha yao pamoja na tabia njema

Ametaja uhuru kuwa chanzo cha kwanza cha kubadili tabia kwa kuwa hakuna anayeshurutisha Mwanachuo kufanya kitu fulani. Pia, wengi hutamani na kuanza kuiga tabia za Marafiki waliokutana nao bila kujua tofauti zilizopo baina yao

Anasema tamaa ya kumiliki vitu ambavyo haviko ndani ya uwezo wake hupelekea wengi kuharibikiwa na wengi wao hujikuta wakipata madhara ikiwemo Uraibu, kufeli masomo na Magonjwa ya Zinaa.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad