TETESI: Makubaliano ya kumfukuza kazi Kocha wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjær yamefikiwa
0Udaku SpecialNovember 21, 2021
TETESI: Makubaliano ya kumfukuza kazi Kocha wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjær yamefikiwa, huku Darren Fletcher akitarajiwa kukaimu nafasi hiyo kwa muda.
Timu hiyo imekuwa na mwenendo mbovu ambapo jana ilifungwa 4-1 na Watford FC.