Try Again Afunguka Simba Kumtangaza Kocha Mpya


“Wiki ijayo tutakuwa tayri tumeshampata kocha wetu mpya na benchi lake, sasa hivi tupo tunapitia CV za makocha wengi sana na wengine ni wakubwa sana ambao hata sisi hatukutegemea kama wangeomba kwetu”- Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Salim Abdallah ‘Try Again’.

🗣“Juma Lijalo pia tutamtambulisha msemaji wetu mpya wa Timu yetu (Simba Sc) hii ni baada ya kumalizana na aliyekuwa akikaimu nafasi hiyo Ezekiel Kamwaga” - Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba, Salim Abdallah ‘Try Again’.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad